1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yasitisha marupurupu ya Kansela wa zamani Schroeder

Grace Kabogo
19 Mei 2022

Bunge la Ujerumani limesema Kansela wa zamani wa Ujerumani, Gerhard Schroeder ameondolewa rasmi stahiki na marupurupu yake kutokana na uhusiano wake na Urusi. Grace Kabogo amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa Abdallah Salim Mzee. Kwanza amemuuliza hilo lina maana gani kwa siasa za Ujerumani na Ulaya kwa ujumla?

https://p.dw.com/p/4BaEr