1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda na Tanzania wakubaliana kushirikiana zaidi

Emannuel Lubega(HON)20 Januari 2022

Serikali za Uganda na Tanzania zimeazimia kuimarisha ushirikiano kwa lengo la kulinda na kuboresha maisha ya raia wa nchi hizo mbili. Haya ni baada ya kusaini vipengele kadhaa vya ushirikiano ambavyo utekelezaji wake utaidhinishwa na vitengo vya kisheria vya pande zote mbili kuhakikisha uwiano katika kipindi cha miezi sita ijayo. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alitutumia ripoti ifuatayo.

https://p.dw.com/p/45ont