1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tshisekedi ashutumiwa kukutana na wapinzani wa Rwanda

Sudi Mnette
22 Septemba 2023

Gazeti linaloegemea upande wa serikali ya Rwanda The New Times limedai kuwa Rais wa Kongo Felix Tshisekedi alikutana na wapinzani wa Rwanda walio uhamishoni mjini New York kujadili mipango ya kumpindua rais wa Rwanda Paul Kagame. Je tuhuma hizo zinaupeleka wapi uhusiano wa Rwanda na Kongo? Sikiliza uchambuzi wake Marcel Hamdun, mchambuzi wa siasa za Kanda ya Maziwa Makuu.

https://p.dw.com/p/4WglM