1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yachukuwa hisa 49% za Airtel

Sylvia Mwehozi
11 Januari 2019

Kampuni ya Airtel Tanzania, ambayo ni sehemu ya kampuni ya Bharti Airtel ya India, imekubali kutoa sehemu ya hisa zake kwa serikali ya Tanzania, hatua inayolifanya taifa hilo la Afrika Mashariki sasa kumiliki 49% ya hisa kutoka 40% ya zamani. Sylvia Mwehozi amezungumza na mchambuzi wa uchumi kutoka Tanzania, Dk. Kyahoza Bravious juu ya hatua hii.

https://p.dw.com/p/3BOOY