1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania, Kenya zatajwa ukiukwaji haki

17 Januari 2019

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limezindua ripoti yake ya uangalizi wa haki za binadamu kimataifa na kuonyesha kuporomoka kwa kiasi kikubwa haki za binadamu kwa mataifa ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.

https://p.dw.com/p/3Bj8y