Taarifa ya habari za asubuhi. 14.11.2019 | Media Center | DW | 14.11.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Taarifa ya habari za asubuhi. 14.11.2019

Palestina yasema shambulizi jipya la angani lililotekelezwa na Israeli lasababisha vifo vya waatu watano, aliyekuwa rais wa Bolivia Evo Morales ashtumu hatua ya Marekani ya kuitambua serikali ya sasa ya taifa hilo na shirika la ndege la Afrika Kusini lafutilia mbali safari zake za ndege.

Sikiliza sauti 08:00