20 Juni 2019
Matangazo
-Watu wanne wamefunguliwa mashtaka kuhusiana na kuangushwa kwa ndege ya Malaysia katika anga la Ukraine mwaka 2015.
-Rais wa China Xi Jinping ameondoka kuelekea Korea Kaskazini katika ziara ya siku mbili.
-Jeshi la Sudan limesema linataka mazungumzo na waandamanaji yaanze upya lakini bila masharti yoyote.