1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Stuttgart kileleni mwa ligi ya Bundesliga

Josephat Charo
16 Agosti 2021

Msimu wa 59 wa Bundesliga waanza, Stuttgart watakata, huku mabingwa watetezi Bayern Munich wakilazimishwa sare. Mashine ya kufunga magoli Erling Haaland ndiye mchezaji bora wa mechi za ufunguzi. Jiunge na Josephat Charo katika makala ya michezo ya DW Kiswahili.

https://p.dw.com/p/3z3QV