Siku ya kufunguliwa misikiti Ujerumani | Mada zote | DW | 03.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Siku ya kufunguliwa misikiti Ujerumani

Kiasi ya misikiti 1,000 inafunguliwa milango yake kwa ajili ya wageni siku ya Oktoba 3 ya kila mwaka chini ya kaulimbiu "Jamii nzuri, Jamii salama". " DW inaangazia tukio hili katika nyumba za ibada za Kiislamu.