1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Ujerumani yaidhinisha msaada wa dharura kufuatia mafuriko

21 Julai 2021

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel na baraza lake la mawaziri wameidhinisha msaada wa dharura wa euro milioni 400 wa kuyajenga upya maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko nchini humo.

https://p.dw.com/p/3xnu0