1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sakata ya watoto wa kimiujiza nchini Kenya. Watuhumiwa wapewa kifungo cha jela

1 Juni 2007

Wanawake watatu miongoni mwao mke wa Askofu Gilbert Deya aliye na makao yake nchini Uingereza wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili kila mmoja gerezani kwa kuiba mtoto.

https://p.dw.com/p/CHDL

Bi.Mary Deya mke wa Gilbert Deya ambaye amehusika katika sakata ya watoto wa kimiujiza alipatikana na hatia ya kuiba mtoto mnamo mwaka 2005. Bi. Mary Deya alishtakiwa pamoja na wananwake wengine wawili, Miriam Nyeko na Rose Kiserem.

Mwandishi wetu Alfred Kiti akiwa Nairobi anaelezea sakata yote hiyo.