1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Riwaya ya "Mimi na Rais" yashinda tuzo ya Mabati Cornell

Josephat Charo
6 Machi 2020

Tuzo za fasihi ya Kiswahili za Mabati Cornell zimewatangaza washindi wapya wa msimu huu. Dhamira ya tuzo hizo ni kuukuza uandishi wa vitabu kwa lugha ya Kiswahili na nyengine za kiafrika kadhalika tafsiri. Thelma Mwadzaya anazungumza na Lelo Mmasy mshindi wa tuzo ya Mabati Cornell ya fasihi 2019. Riwaya yake ya Mimi na Rais imeibuka ya kwanza.

https://p.dw.com/p/3Yx9G