Rais Samia Suluhu Hassan awasili Kenya | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.05.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Rais Samia Suluhu Hassan awasili Kenya

Rais Samia yuko nchini Kenya kwa ziara rasmi ya siku mbili. Amepangiwa kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Uhuru Kenyatta na kuhutubia mabaraza mawili ya bunge la nchi hiyo miongoni mwa mambo mengine. Rashid Chilumba amezungumza na mwandishi wa DW aliyeko Nairobi Shisia Wasilwa kuhusu ziara hiyo.

Sikiliza sauti 02:31