SiasaPaka MtabiriTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari14.06.201814 Juni 2018Paka asiye na uwezo wa kusikia ndiye mtabiri wa mechi za kombe la dunia linaloanza leo Urusi. Katika jukumu lake la kwanza paka huyo mweupe kwa jina Achilles ametabiri kwamba Urusi itaishinda Saudi Arabia kwenye mechi ya ufunguzi Alhamis.https://p.dw.com/p/2zWtxMatangazo