1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ongezeko la maambukizi ya COVID-19 Ujerumani

20 Juni 2022

Maambukizi ya virusi vya corona yanaongezeka Ujerumani. Waziri wa Afya Karl Lauterbach amewahimiza raia kuchukua tahadhari lakini wasiingiwe na wasiwasi. Ametangaza hatua mpya kuhakikisha Ujerumani inajiandaa kukabiliana na wimbi jipya la maambukizi miezi ijayo. Hata hivyo baada ya janga la COVID-19 kudumu kwa miaka miwili, baadhi ya Wajerumani wanahisi kuchoshwa na masharti mapya.

https://p.dw.com/p/4CxS7