1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwakinyo nyota mpya ya ndondi kutoka Tanzania

13 Septemba 2018

Bondia kutoka Tanga, Tanzania ameingia katika nafasi 20 ya mabondia bora duniani baada ya kumtwangwa Muingereza Sam Eggington katika mchuano wa utangulizi uliofanyika mjini Birmingham, September 8 mwaka huu. Alikuwa nafasi ya 158 na sasa amefikia ya 16. Zaidi sikiliza kipindi Karibuni.

https://p.dw.com/p/34ntY