Mshindi wa Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika | Media Center | DW | 23.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mshindi wa Tuzo ya Ujerumani kwa Afrika

Gerald Bigurube ametunikiwa tuzo ya Ujerumani kwa Afrika pamoja na Mmalagasi Clovis Razafimalala kwa kazi zao zinazohusika kuyalinda mazingira. Bigurube amekuwa akiwalinda wanyama pori na mazingira katika maisha yake yote sababu iliyolifanya jopo la wataalamu 26 kuamua kumpa sauti pamoja na mwenzie wa Madagascar anayetetea misitu.

Tazama vidio 01:09
Sasa moja kwa moja
dakika (0)