1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Magufuli na upinzani unatoa picha gani?

Lilian Mtono3 Machi 2020

Rais wa Tanzania John Magufuli awaalika viongozi tofauti wa upande wa upinzani kwa mazungumzo katika Ikulu ya rais. Je mazungumzo hayo yanatoa picha gani wakati taifa hilo likiwa linajiandaa na uchaguzi mkuu?

https://p.dw.com/p/3YoSI