1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkakati wa usalama wa taifa wa Ujerumani: Ubunifu kabambe au hadithi isiyoisha?

Zainab Aziz9 Juni 2023

Kwa muda wa miezi kadhaa Ujerumani imekuwa inausubiri mkakati wa ulinzi wa kwanza lakini kwa mara nyingine serikali imeahirisha kuuzindua mkakati huo. Uamuzi huo umesasabisisha mivutano ndani ya serikali hiyo. Makala ya Sura ya Ujerumani inaangazia suala la mkakati wa ulinzi wa kitaifa wa nchini Ujerumani. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4SOJT