1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Migogoro

Miaka miwili tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine

23 Februari 2024

Ni miaka miwili imepita sasa tangu Urusi ilipoivamia kikamilifu Ukraine. Rashid Chilumba anazungumza na Abdalla Salim Mzee, mchambuzi wa siasa za kimataifa akiwa mjini Berlin, na kwanza anatoa tathmini yake ya miaka miwili ya vita hivyo.

https://p.dw.com/p/4coSN