Miaka 75 baada ya vita vya pili vya dunia | Media Center | DW | 11.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Miaka 75 baada ya vita vya pili vya dunia

Ulaya inaadhimisha miaka 75 ya kumalizika kwa vita vya pili vya dunia baada vikosi vya NAZI vya Ujerumani kujisalimisha kufuatia vita vilivyodumu kwa miaka sita. Hata hivyo maadhimisho haya yanafanyika kimya kimya kufuatia vizuizi vya kupambana na virusi vya corona.#Kurunzi

Tazama vidio 01:15