Mfumo wa nyumba Ujerumani unaowachanganya wakubwa na wadogo | Media Center | DW | 26.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mfumo wa nyumba Ujerumani unaowachanganya wakubwa na wadogo

Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii inaangazia tatizo hilo na kukujuza juu ya mfumo ulioundwa nchini Ujerumani wa nyumba zenye kuvileta pamoja vizazi tofauti kuanzia wazee vijana mpaka watoto, ili waweze kusaidiana katika mahitaji yao tofauti ya kila siku. Aliyekuandalia makala hii kutoka Berlin ni Harrison Mwilima, karibu..

Sikiliza sauti 09:45