1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mfanyakazi wa ndege aliyegeukia barakoa

28 Mei 2020

Mfanyakazi wa ndege na mbunifu wa mavazi ya kitamaduni ya dirndl nchini Ujerumani, Birgit Backeler anashona barakoa katika duka lake la dirndl mjini Munich. Backeler kwa kawaida anafanya kazi katika shirika la kimataifa la ndege la Lufthansa kazi ambayo kwa sasa imesimama kufuatia vizuizi vya safari za kimataifa.#Kurunziujerumani

https://p.dw.com/p/3cvZH