1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kifo cha Membe na mchango wake kidiplomasia nje ya Tanzania

Grace Kabogo
12 Mei 2023

Wachambuzi wanauzungumziaje mchango wa marehemu Bernard Membe nje ya Tanzania akiwa kama mwanadiplomasia na pengo la kisiasa aliloliacha ndani na nje ya Tanzania? Sikiliza mahojiano ya Grace Kabogo na mchambuzi wa masuala ya kidiplomasia na uhusiano wa kimataifa, Rutaraka Abertus Paschal wa nchini Tanzania kufahamu zaidi.

https://p.dw.com/p/4RHVj