Mbunge wa CCM ataka mauaji yachunguzwe | Matukio ya Afrika | DW | 08.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Tanzania

Mbunge wa CCM ataka mauaji yachunguzwe

Mbunge huyo wa Nzega Mjini Hussein Bashe amefikisha hoja binafsi kwa katibu wa Bunge la Tanzania ili baadae iingizwe bungeni na bunge liunde tume itakayochunguza kwa uhuru na haki kukithiri ukiukaji wa haki za binadamu.

Sikiliza sauti 03:11
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Mahojiano na mbunge Hussein Bashe

Miongoni mwa vitendo hivyo vya ukiukaji wa haki za binadamu ni vile vya utekwaji, upoteaji na mauaji yanayotokea humo. DW imezungumza na mbunge Bashe na kwanza ilimuuliza amefikia hatua gani katika azma yake hiyo?

Sauti na Vidio Kuhusu Mada