Matukio ya Afrika katika magazeti ya Ujerumani | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 05.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matukio ya Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Hali katika jimbo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia, Afrika Kusini yapata shehena ya chanjo za COVID-19 na elimu ya wanafunzi nchini Kenya baada ya shule kufungwa kwa takriban miezi 10, ni miongoni tu mwa matukio ya Afrika ambayo yameangaziwa na baadhi ya magazeti ya Ujerumani. Sikiliza dondoo zaidi magazetini naye Zainab Aziz.

Sikiliza sauti 05:07