1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili. 14.06.2020

14 Juni 2020

Korea Kusini yafanya mkutano wa usalama wa dharura na kuihimiza Korea Kaskazini kuzingatia makubaliano ya maridhiano, wizara ya afya ya Misri yatangaza karibu visa vipya 1,700 vya maambukizi ya virusi vya corona hii ikiwa ni idadi ya juu zaidi katika muda wa saa 24 na China yaripoti idadi kubwa zaidi ya maambukizi mapya ya virusi vya corona hii leo

https://p.dw.com/p/3dkJK