Matangazo ya Jioni: 19.06.2022 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 19.06.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Matangazo ya Jioni: 19.06.2022

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kukutana kesho Jumatatu mjini Nairobi kujadili mzozo wa DRCongo. Urusi imesema imewaua zaidi ya 'majenerali na maafisa' 50 wa Ukraine katika shambulizi la makombora. Na leo ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Unyanyasaji wa Kijinsia wakati wa Migogoro.