SiasaMatangazo ya jioni 18.08.2019To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaYusra Buwayhid18.08.201918 Agosti 2019Watu 63 wafariki kutokana na mripuko wa bomu katika sherehe ya harusi mjini Kabul, Afghanistan. India yerejesha marufuku ya kutoka nje na kuzima mawasiliano Srinagar, Kashmir. Na, SADC yataka kupunguza kutegemea ufadhili wa nje.https://p.dw.com/p/3O5tNMatangazo