Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Karibu katika matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Tuma Facebook Twitter Whatsapp Web EMail Telegram Facebook Messenger Web
Kiungo https://p.dw.com/p/3oJi1
Rais wa Marekani, Joe Biden, atamkaribisha Waziri Mkuu wa Japan Yoshihide Suga, katika ikulu ya White House mjini Washington, katika mkutano unaotajwa kuwa na ujumbe mzito kwa China
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kutiwa hatiani kwa askari polisi aliyemuua George Floyd ni hatua moja kubwa kuelekea katika njia ya kupatikana haki nchini Marekani.
Rais wa Marekani Joe Biden ataihutubia dunia kuhusu mazingira Alhamis wakati atakapo zindua dhamira ya Marekani katika mkutano wa kilele utakaofanyika kwa njia ya video, utakaowaleta pamoja mahasimu China na Urusi.
Maelfu ya watu nchini Marekani wanaendelea kushangiria hukumu ya kwanza kumtia hatiani afisa polisi wa kizungu kwa mauaji ya mtu mweusi katika historia ya taifa hilo.