Serikali ya umoja wa kitaifa inatarajiwa kuundwa leo Sudan Kusini // Mazishi ya msanii na mwanaharakati maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha yanafanyika leo // Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania kesho inatarajia kufunga rasmi kazi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani