Rwanda imeipongeza Marekani kwa kuikabidhi nchi hiyo mmoja wa washukiwa wa mauaji ya kimbari ambaye amekuwa akiishi Marekani, Leopold Munyakazi. Anashukiwa kuendesha mikutano ya kuangamiza Watutsi.
https://p.dw.com/p/2Qix0
Matangazo
J2 2909 Genocide Deported back to Rwanda - MP3-Stereo