Marekani yajiondoa katika Baraza la Haki za Binadamu | Media Center | DW | 20.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Marekani yajiondoa katika Baraza la Haki za Binadamu

Utawala wa Rais Donald Trump umeiondoa Marekani katika Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu. Marekani imesema baraza hilo linaionea Israel, mshirika wake mkubwa. Umoja wa Mataifa na nchi nyingi muhimu zimeukosoa uamuzi huo. Papo kwa Papo.

Tazama vidio 01:13
Sasa moja kwa moja
dakika (0)