1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maisha baada ya shule kufungwa Ujerumani

Elizabeth Shoo
2 Aprili 2020

Sura ya nchi ya Ujerumani imebadilika. Virusi vya corona vinavyoendelea kusambaa kwa kasi vimewalazimisha wanasiasa kuweka sheria zinazoratibu maisha ya watu, kwa lengo la kuzuia watu kuambukizana. Miongoni mwa sheria hizo ni kwamba shule zote zimefungwa kwa wiki kadhaa. Je, wazazi wanafanyaje na watoto nyumbani? Na je, wanafunzi wenyewe wanasemaje kuhusu kutokuwa lazima kwao kwenda shule?

https://p.dw.com/p/3aLdD