Mahakama yailaumu IEBC Kenya | Media Center | DW | 20.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mahakama yailaumu IEBC Kenya

Polisi yatumia nguvu kuwatawanya waandamanaji Kenya wakati Mahakama ya Juu ikitangaza misingi ya hukumu yake iliyobatilisha uchaguzi wa Agosti 8. Trump aitisha Korea Kaskazini na Kansela Merkel aongoza kikao chake cha mwisho cha baraza la mawaziri kabla uchaguzi wa Jumapili. Papo kwa Papo 20.09.2017.

Tazama vidio 01:56