1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya haki za binadamu Afrika kupungukiwa wanachama?

Veronica Natalis/MMT31 Agosti 2020

Nchi nne za Afrika zimeonesha nia ya kujitoa katika makubaliano ya mahakama ya Afrika na haki za binadamu iliyopo Arusha Tanzania. Suala hili sasa linaibua taswira tofauti kuhusu utetezi wa haki za binadamu katika nchi za Afrika. Veronica Natalis analiangazia hilo kwenye Makala Yetu Leo

https://p.dw.com/p/3hnTr