Lissu azungumzia siasa za Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 18.09.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Lissu azungumzia siasa za Tanzania

Kwenye makala ya Kinagaubaga tunakuletea mahojiano maalumu kati ya Najma Said na mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ambaye bado anapata matibabu nchini Ubelgiji baada ya kujeruhiwa kwa risasi, Julai mwaka jana akiwa mjini Dodoma. Ni nini alichokisema Lissu, sikiliza hapa.

Sikiliza sauti 09:48