1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kumbukizi ya Maalim Seif:Tumekosea wapi, tujisahihishe wapi?

Salma Said27 Novemba 2023

Siasa, uongozi na utawala: tumekosea wapi, tujisahihishe vipi? ni maudhui yaliotawala katika mkutano wa tatu wa kumbukumbu ya kumuenzi aliyekuwa kiongozi mashuhuri wa kisiasa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad mwaka huu, mkutano ambao umewashirikisha viongozi kutoka ndani na nje ya Tanzania. Salma Said azungumza na Kaimu Mtendaji wa Wakfu wa Maalim Seif Sharif Hamad, Ismail Jussa.

https://p.dw.com/p/4ZUfs