1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kufungiwa kwa Gazeti la Raia Mwema nchini Tanzania

Mohammed Khelef
7 Septemba 2021

Nchini Tanzania, serikali imelifungia kwa siku 30 gazeti la binafsi la Raia Mwema kwa madai ya kukiuka sheria na maadili ya uandishi wa habari, hili likiwa la pili kuchukuliwa hatua kama hiyo ndani ya utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Kwenye makala hii ya Kinagaubaga, Mohammed Khelef amezungumza na mhariri wa gazeti hilo,Joseph Kulangwa.

https://p.dw.com/p/401Ku