Kampeni za mapema zaanza Tanzania? | Matukio ya Afrika | DW | 06.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kampeni za mapema zaanza Tanzania?

Nchini Tanzania kunaonekana kuanza kuwepo kwa msukumo mpya ndani ya chama tawala CCM na pengine hata nje ya chama hicho kutaka Rais Samia Suluhu Hassan aungwe mkono ili aachwe huru kuwania urais katika uchaguzi ujao wa mwaka 2025. Msikilize mwandishi wa DW kutoka Dar es Salaam, George Njogopa.

Sikiliza sauti 02:45