1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Joto la kisiasa Tanzania

11 Novemba 2019

Baada ya baadhi ya vyama vya upinzani kujitoa uchaguzi serikali za mitaa Tanzania sasa Waziri wa Tamisemi Suleiman Jafo amesema atawarudisha katika uchaguzi huo wote waliochukua na kurejesha fomu na baadae kuenguliwa. Lakini je Waziri huyo ana uwezo huo wa kutekeleza alichokisema? Rais wa Chama cha Wanasheria cha Tanganyika, Rugemeleza Nshala amezungumza na Amina Abubakar.

https://p.dw.com/p/3Sonn