IEBC yasema mfumo wake haukudukuliwa | Media Center | DW | 10.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

IEBC yasema mfumo wake haukudukuliwa

Tume ya uchaguzi Kenya IEBC yasema mtandao wake haukudukuliwa. Upinzani nchini Afrika Kusini wataka bunge livunjwe na kufanyike uchaguzi wa mapema. Na mwanasoka wa Mexico Rafael Marquez adaiwa kujihusisha na genge la madawa ya kulevya. Papo kwa Papo 10.08.2017.

Tazama vidio 01:34
Sasa moja kwa moja
dakika (0)