Hali si shwari ndani ya chama cha AfD | Media Center | DW | 26.09.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Hali si shwari ndani ya chama cha AfD

Mwenyekiti mwenza wa chama mbadala cha Ujerumani, AfD Petry Frauke aachana na chama hicho, Upinzani Togo waitisha mgomo wa nchi nzima siku ya ijumaa kuipinga serikali na Myanmar yalaumiwa kwa watetezi wa haki za binaadamu kwa mauaji ya Warohingya. Papo kwa Papo: 26.09.2017.

Tazama vidio 01:58
Sasa moja kwa moja
dakika (0)