Dereva wa Lissu azungumza na DW | Matukio ya Afrika | DW | 08.02.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Dereva wa Lissu azungumza na DW

Jaribio la mauaji dhidi ya mbunge wa upinzani, Tundu Lissu, lililofanyika Septemba 2017 bado ni mjadala mkubwa Tanzania. Lissu amekuwa akionekana mara kwa mara akizungumza na vyombo vya habari vya kimataifa, na sasa DW imekutana na dereva wake Adam Mohamed Bakari akiwa mjini Brussels, Ubelgiji, kujua anachokumbuka kuhusu mashambulizi yenyewe.

Sikiliza sauti 02:42