CUF yaionya serikali ya Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 20.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

CUF yaionya serikali ya Tanzania

Chama cha wananchi CUF kimetahadharisha kuhusu mwenendo wa siasa zinazofanywa na serikali ya Tanzania, kikisema unaweza kuwafanya wananchi kuingiwa na woga na kushindwa kushiriki shughuli za kimaendeleo.

Sikiliza sauti 02:38
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Sikiliza ripoti ya George Njogopa

Sauti na Vidio Kuhusu Mada