Maalim Seif azungumza na Deutsche WelleTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMohammed Abdulrahman Mohammed10.06.201510 Juni 2015Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, anazungumzia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambapo yeye anasimama tena kuwania nafasi ya urais wa Zanzibar kwa mara ya tano.https://p.dw.com/p/1Fef2Matangazo