Burundi yasaini kujiondoa ICC | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 19.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Burundi yasaini kujiondoa ICC

Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, asaini agizo la kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Mke wa rais wa Syria,Asma al-Asaad, avikosoa vyombo vya habari vya nchi za Magharibi. Gari ya polisi Ufilipino yakanyaga wanafunzi wlaiokuwa wameandamana.

Tazama vidio 01:37
Sasa moja kwa moja
dakika (0)