Bundesliga kurejea viwanjani Ijumaa | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 26.09.2022
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Bundesliga kurejea viwanjani Ijumaa

Ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga kurejea Ijumaa, Bayern Munich kukwaana na Bayer Levekusen, Cologne kukabana koo na Borussia Dortmund. Timu ya taifa ya soka ya Ujeruamani Die Mannschaft kuvaana leo na England katika mechi ya ligi ya mataifa ya Ulaya.