1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bayer Leverkusen

Bayer Leverkusen ni moja wapo ya klabu tatu za kandada nchini Ujerumani zinazomilikiwa na makampuni. 1988 ilishinda kinyanganyiro cha kombe la Ulaya UEFA wakati 1993 ilishinda kombe la Ujerumani.

Ni klabu iliyoasisiwa na kampuni ya madawa ya Bayer. Bayer Leverkusen pia ni moja wapo ya klabu nne Ujerumani, zisizomilikiwa na mashabiki.

Onesha makala zaidi