1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Usanifu majengoAfrika

Boma la Makumbusho ya Elimu Viumbe

27 Mei 2021

Katika #kurunziujerumani tunakupeleka katika jiji la Arusha kukutembeza ndani ya mmoja ya maboma yaliojengwa na wakoloni wa Kijerumani, ambalo kwa sasa linatumika kama makumbusho ya elimu viumbe. Makinika na Veronica Natalis.

https://p.dw.com/p/3u47A